mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Ahsante mkuu,Mungu akunyoshee mkono wake ukapate kubarikiwa na kuishi miaka mingi yenye furaha tele. Bila kuwepo wenye misambwanda wa kuwaangalia,baadhi yetu tutakufa kwa stress.Yaani akipita mbele yangu aliye barikiwa nanihii,hata kama nilikuwa nimestresika,nikimuangalia na nikabahatika kumsifia kimoyo moyo akili inarudi upyaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kaa nami Bwana[emoji120] [emoji120][emoji818][emoji818][emoji818]The average man will spend nearly a year of his life simply staring at women.
*****************************************
Shemeji yangu Andjul upo? Itabidi tupunguze kukodolea macho misambwanda mkuu azawaisi tutapotezea hata decade ya maisha yetu bure. Uwe na siku njema !!!
![]()
15:041:55
AMUN RA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaaa,kijana anaumiza macho yangu kweli,nami nang'ang'ania kuisoma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio jikoni? Nimeona nyumba nyingi mlango unaotumika zaidi ni wa uani na unapitia jikoni ndo uende sebuleni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Katika familia za kiafrika, sebule ni eneo muhimu ndani ya nyumba kwani ndiyo sehemu ya kwanza, ambayo mgeni hufikia kabla ya kujua maeneo mengine.
Kabisa mkuu ndio foundation ya windows zoteInasemekana hii ndiyo Windows bora kabisa.