mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Upo Facebook baada ya kutoka. kazn Unalog in unakuta boss wako kaapload picha Nafamilia yake ukichek cm ipo Asilimia 3 kwakua n boss unataka Ucoment kapongez kidogo Kwa maneno ya kingereza Unaandika Cool pics Ila cm Ina Autocorect ikajtype [HASHTAG]#Cool[/HASHTAG] Pigs Ile kushtuka cm Imezma
Wala usihangaike broo Tafuta kaz nyngne
Nzur
Mazingira mazuri sana kwa kuishi hayo
Itabidi nije September mwanzoniMkuu Hilo si la kunikumbusha nalala naota nimalize hiyo kitu
Tupo
Karibu sana we miss uNipokeen nimerud rasm humu
Kwa nyumba ya aina hiyo sawa.Mungu akinijaalia kufikia hatua ya kujenga,hata nyumba iwe kubwa kiasi gani nitaweka mlango mmoja tu wa kuingia na kutoka.Kwa upande wangu huwa naona ni wa sebulen hasa wale wa vyumba viwili vitatu. Huku kwetu uswahilini jiko lipo nje😀😀😀
Mis u 2[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]gigivivblcyxyKaribu sana we miss u
Dhjyebfwbk
Nazitamani kuziona hatua za mwanzo ili na mimi nianze mapema.Kama hautajali mkuuNitakujuza nikimaliza project uje uangalie
Hilo ni la muhimu,lasivyo ukasombe maji mto RuvuUsisahau kuvuna mvua
Maana huku hakuna jirani anaye acha maji ya mvua yatiririke bure!