Post [HASHTAG]#2718[/HASHTAG]Kwakweli unatisha!
Mzee Meko
Acha kufukua makaburi ww.Hili penzi liliishia wapi?
Ila gazeti sani la kipindi kile usipime mwananguWe jamaa ni kiboko. Vibwengo vyote vya gazeti la Sani bado unavikumbuka majina? [emoji3][emoji3]
Nipo kibiti tayari, nakisalim tokea pande hizi.Mama anaekimbia ndoa yake[emoji2][emoji2]