andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Kuwa nao huo ni eidha umeongoza mtihani wa kufungia shule au ni LY tena uliye karibu na mwalimu wa vifaa.Zaidi ya hapo una ndugu katoka Dar amekuletea zawadi ya mkebe,viatu vya safari,na nguo za safari...Wahenga tu wataelewa hiki ni nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()