Kuwa nao huo ni eidha umeongoza mtihani wa kufungia shule au ni LY tena uliye karibu na mwalimu wa vifaa.Zaidi ya hapo una ndugu katoka Dar amekuletea zawadi ya mkebe,viatu vya safari,na nguo za safari...Wahenga tu wataelewa hiki ni nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
+476YSI476
OK my loveThose numbers zina maana yake kwa wakati huo!
Ziache post zangu my dear please!
Hahahaha
+475ZLI475
AMUN RA8:54
AMUN RA
Eee bwana eeeeMechi kati ya ma born town na Mabushi star! [emoji3]
Ili ujaziwe zaidiJaza ujaziwe