Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tuangalie ni kwa kiasi gani maji ni tiba kubwa kuliko zote mwilini. Mwili wa binadamu unategemea maji kwa kiasi kikubwa na unapokosa au kupungikiwa, hutoa ishara zake ambazo wengi wetu hatuzijui. Ishara hizo zinapopuuzwa huzaa matatizo mengine ya kiafya.
 
Kwa uchache, binadamu anatakiwa kunywa maji yasiyopungua glasi nane kila siku. Kiwango hicho kitaongezeka iwapo mtu ana uzito mkubwa na shughuli zake nyingi zinatumia maji mengi mwilini. Hivyo kiasi hicho cha glasi nane ni kiwango cha chini kabisa anachotakiwa kunywa mtu hata kama hana kazi yoyote.
 
1: Maji hutibu kiungulia (heart burn)
Kiungulia ni dalili kwamba mwili una upungufu mkubwa wa maji. Mara nyingi watu wanaposumbuliwa na kiungulia hudhani tumbo limejaa gesi hivyo kukimbilia kumeza vidonge ili kutuliza maumivu, lakini tatizo la upungufu wa maji huendelea kuwepo.
 
Bila kujua kuwa kiungulia kinatokana na kutokunywa maji, mtu huyo huendelea kumeza vidonge. Matokeo yake hali ya upungufu wa maji inapoendelea kwa muda mrefu, husababisha madhara mengine kama kuvimba tumbo, henia, vidonda vya tumbo na hatimaye kupatwa na saratani ya tumbo, maini na mapafu.
 
heart-touching-story.jpg
 
Back
Top Bottom