Huwezi lala na mama bila maji (in bwege voiceTuangalie ni kwa kiasi gani maji ni tiba kubwa kuliko zote mwilini. Mwili wa binadamu unategemea maji kwa kiasi kikubwa na unapokosa au kupungikiwa, hutoa ishara zake ambazo wengi wetu hatuzijui. Ishara hizo zinapopuuzwa huzaa matatizo mengine ya kiafya.