ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Gr8 kwa kweli!All is well sis. Just woke up. We unaendeleaje?
Gr8 kwa kweli!All is well sis. Just woke up. We unaendeleaje?
Yap. [emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]
They are back. Mungu ni mwema. ALWAYS...
Bro. Shemeji Carba yuko wapi? Sijamuona tangu jana. Au amekwama porini? Alisema yuko samuwhea porini porini. Bila shaka yuko salama. Asipokuwemo humu kunapoa kwa sababu hata akina KK na Mzee wa Tukuyu wanakosa mbwembwe...Good Afternoon to you
Pole ShemejiAm gud shem japokuwa flu imeniandama kweliii
Hahhahha yupo alipita kwa mbali asubuhi akatoa likes mbili TatuBro. Shemeji Carba yuko wapi? Sijamuona tangu jana. Au amekwama porini? Alisema yuko samuwhea porini porini. Bila shaka yuko salama. Asipokuwemo humu kunapoa kwa sababu hata akina KK na Mzee wa Tukuyu wanakosa mbwembwe...