Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Acha kujifanya una busara wakati mtu mwenyewe ni Fala tu.
Gonga like hapo chini kama wewe sio Fala
Mkuu hii lugha haikubaliki mahali hapa , tafadhali, hapa ni mahali pa utulivu paliposheheni upendo lugha za namna hii hazikubaliki. Lugha za shombo mahali kama hapa zinahatarisha upendo uliopo hapa. HATUPENDI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom