Asante sanaMkuu hii lugha haikubaliki mahali hapa , tafadhali, hapa ni mahali pa utulivu paliposheheni upendo lugha za namna hii hazikubaliki. Lugha za shombo mahali kama hapa zinahatarisha upendo uliopo hapa. HATUPENDI
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu SHIMBA habari yako kiongoziJumanne inaendeleaje wakuu. Mungu Aendelee kutubariki wapendwa!
Asante.Karibu tena.And i would love to congratulate each and everyone who has contributed to this thread!
Sent using Jamii Forums mobile app
Cole William, habari yako mkuuPole Shemeji
Utakuwa powa
Get well soon
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji654]️[emoji654]️Mwenye message za kuforwardia watu 10 halafu unafanikiwa anirushie. Hali ni tete [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]