Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
I636
Well said[emoji818][emoji818][emoji818]Wakuu. Kuna watu wanajaribu kutuchafulia hali ya hewa huku kwa lugha chafu na dharau. Stress zinaletwa huku.
Njia nzuri ya kupambana na watu hawa ni KU-IGNORE tu. Acheni kumjibu wala kumpa likes. Just mute. Mwishowe atachoka na kwenda zake...
Hii ni njia bora kabisa[emoji818][emoji818][emoji818]Wakuu. Kuna watu wanajaribu kutuchafulia hali ya hewa huku kwa lugha chafu na dharau. Stress zinaletwa huku.
Njia nzuri ya kupambana na watu hawa ni KU-IGNORE tu. Acheni kumjibu wala kumpa likes. Just mute. Mwishowe atachoka na kwenda zake...