Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha umechanganya hapo, Assimilation policy kwa kiasi kikubwa ilitumiwa na wafaransa mkuu.
 
How long will I be with you
As long as the sea is bound to
Wash upon the sand.......
How long will I want you
As long as you want me to
And longer by far....... nakapendaga haka kawimbo[emoji445] [emoji445]
Shusha mistari binti shusha...[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]. Kamwe usicheze na mapenzi ya Koromije. Ushakamatika wewe...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shusha mistari binti shusha...[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]. Kamwe usicheze na mapenzi ya Koromije. Ushakamatika wewe...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Just for u my love[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]

Umenikamata we umenikamata[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]
 
Uliweka post fulani ya mambo ya Karma. Ho Chi Minh akauliza, kati ya Liverpool na Arsenal ni timu ipi inaathiriwa zaidi na Karma kuliko nyingine?

Nadhani hili ndo lilikuwa swali lake. Samahani kama nimekosea...
Shimba umeliuliza swali vizuri zaidi kuliko nilivyouliza.
Hayo ndo yalikuwa malengo yangu hasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dk Joshua Hood, kiongozi wa utafiti huo anasema, ipo sumu kali iitwayo mellitin katika mwiba wa nyuki ambayo ina uwezo wa kuingia ndani ya mfuko unaozunguka kinga ya mwili wa binadamu na kuua virusi vya Ukimwi vilivyomo ndani.

Hata hivyo, imeelezwa kuwa sumu hiyo ya Mellitin iingiapo kwa wingi katika mwili wa binadamu, inaweza kuleta madhara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…