Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapa nchini, Dk Augustine Godman mtaalamu wa magonjwa ya uzeeni na mshauri wa kisaikolojia anasema amejaribu kutumia tiba ya nyuki kwa wagonjwa 158 wenye matatizo kwenye viungio vya mwili (gouts), ambayo husababishwa na wingi wa tindikali ya uric katika damu.
 
Sitafuti Attention yako wewe!!!
Natafuta Like. Gonga like tembea mbele
19932565_323815634713579_4602055537813618688_n.jpg
 
Hahahaha umechanganya hapo, Assimilation policy kwa kiasi kikubwa ilitumiwa na wafaransa mkuu.
Yawezekana nimeanza kusahau. Hata hivyo nadhani Wafaransa na Wareno walikuwa na policy moja katika makoloni yao linapokuja suala la utamaduni na uraia (kuna mengi ya kueleza hapa)

[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️Wafaransa waliita "Assimilation" (pronounce asimilasyo) na kwa wareno waliita hivyo hivyo, na watu waliofyonzwa kabisa kabisa katika utamaduni wa Kireno waliitwa Assimilados (the assimilated ones)
 
Pia, Profesa Samule Wickline pia wa Marekani aliunda chembe ndogo zenye sumu ya mellitin, ambayo ina uwezo wa kuzuia saratani au dalili zozote z vivimbe vya saratani.


Acha uongo wewe!!
Ingekua kweli mbona Steve Jobs alikufa !!
Kwanza unamjua Steve Jobs wewe???
Kabla hujajibu Nigongee ka like kako hapa chini babu yangu
 
Anasema dawa hiyo imeonyesha matokeo mazuri kwa wagonjwa wengi ambao hung’atwa na nyuki katika sehemu mbalimbali za miili yao. Dk Godman anasema, yeye humuweka mgonjwa nje ilipo mizinga ya nyuki na kisha kuwafungulia wadudu hao kutoka katika mizinga yao.

Anasema nyuki wana sumu ambayo inaingia katika mwili wa binadamu na kuondoa sumu iliyo mwilini.
 
Back
Top Bottom