Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Profesa Selako anasema mgonjwa atakapokwenda kupima kwa mara ya pili, atagundua kuwa virusi katika mwili wake vinashuka kila anapoendelea na tiba na baadaye atakuta hana VVU. Anasema, nyuki wa kiume kwa kitaalamu huitwa ‘drone’ na hawana uwezo wa kutoa sumu kali kama nyuki wa kike ambao ndiyo malkia.
 
Wakati huohuo, wanasayansi katika viwanda vya urembo duniani wamefanikiwa kutengeneza mafuta ya ngozi yenye sumu ya nyuki. Mafuta hayo ya ngozi huingia katika ngozi na kutoa sumu, kuirutubisha ngozi na kuondoa makunyanzi.

Mafuta hayo tayari yameshapata wateja wengi, hasa baada ya Malkia Mtarajiwa, Kate Middleton kuyatumia kabla ya harusi yake na kuonyesha matokeo mazuri.
 
Kipodozi hicho kiitwacho Radial Bee Venom kina uwezo wa kuondoa ukavu usoni na makunyanzi na kinawasaidia zaidi watu wanaokaa katika jua kwa muda mrefu.

Dk Christopher Kim, Mkurugenzi wa Taasisi ya Tiba ya Redbank anasema, tiba ya sumu ya nyuki iligunduliwa zaidi ya miaka 1,000 iliyopita na vielelezo vya tiba hiyo vinaonekana katika maandishi ya tiba za Ugiriki na Misri.
 
Back
Top Bottom