Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ndiyo maana watu hukimbilia India
Huo mpango bado upo et[emoji1][emoji1][emoji1]I thought umejiteka
Hahaha miaka inakwenda kwa speed kali sana kaka.Form two enzi zileeeee. Dah! Yaani miaka inakimbia balaa hata sijui inakwenda wapi. Dunia hii kwa kweli tunapita tu !!!
Usije nifanyia hivyo pleaseHuo mpango bado upo et[emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nawe ni kimbaumbau carbaMbona mnatunyanyasa jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha wanawake.wembamba tuna shida sana aiseee.
Lazima uunge hoja [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naunga mkono hoja [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna petrol ya baridi na ya moto...nikuletee ipi?
Ila kuna uji wa diesel na juice ya mafuta ya taa...
Sijui wapendelea kipi mgeni[emoji23][emoji23][emoji23]