Yup mkuu kitambo.Kichwa kichafu
Hatujambo sana.Wenyeji wa humu ndani wazima?
Mbona mnatunyanyasa jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Hotness is a relative term....Don't wish your ........was hot like me
Asante sana.Karibu
Hahaha wanawake.wembamba tuna shida sana aiseee.
Njema, usihofu kamanda bado sijatoka kikosiniMkuu habari yako japo ni kitambo sana
Mwache apambane na hali yake[emoji28]You are soo funny.Anyway hatukupi tena attention.Ngoja tukupe likes ufike hata buku.Hatupambani na hali za watu humu.
WordMakapuku siku hizi mbili tatu wameongeza speed kweli, but it is too late now. It is very difficult to compete with super sonic speed.
Mwache apambane na hali yake[emoji28]You are soo funny.Anyway hatukupi tena attention.Ngoja tukupe likes ufike hata buku.Hatupambani na hali za watu humu.
Jambo zuri kusikia hivyoHatujambo sana.
Yaan wanawake wembamba tuna kazi sana hahahaha. Naanza mazoezi ya kunenepa kuanzia leo.Mbona mnatunyanyasa jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Naunga mkono hoja [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha[emoji28]You are soo funny.Anyway hatukupi tena attention.Ngoja tukupe likes ufike hata buku.Hatupambani na hali za watu humu.
Kuna petrol ya baridi na ya moto...nikuletee ipi?Asante sana.
Natumia vinywaji vyote unaweza nisaidia mimi mgeni