Toa like upewe likeNgonga like twende sawa..........
Dah!Ndio shemeji
Mgeni hupendeki wewe[emoji23][emoji23][emoji23]We huna nia njema na mimi.[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
WasalimieJioni njema wakuu
Poa mkuu, mambo yanakwenda.Mambo niaje mkuu
Kweli umebanwa KK. Anyway, asante kwa angalau kuchungulia !!!Tukipata mda tena nitajongea humu
Ndio utamaduni wetu mkuuToa like upewe like
Let's SWEAR TO LOVE, HONOR AND CHERISH EACH OTHERBaba nimerudi jamani[emoji1][emoji1]
Kwangu mimi kama kimsambwanda kipo japo cha kupendezeshea sun dress basi mambo powa kabisa. Na wembamba wa makusudi mara nyingi huashiria afya njema na ni nadra kuandamwa na magonjwa yanayoambatanishwa na unene kama BP, Diabetes, moyo, baadhi ya kansa na mengi mengineyo.Tunanyanyaswa kweli
Form two enzi zileeeee. Dah! Yaani miaka inakimbia balaa hata sijui inakwenda wapi. Dunia hii kwa kweli tunapita tu !!!Mwanamutapa empire
I thought umejiteka[emoji23][emoji23][emoji23]ulianza kuimba paraboz tena??