Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Carba, we ni kimbaumbau?Mbona mnatunyanyasa jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Carba, we ni kimbaumbau?Mbona mnatunyanyasa jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
I am so moved by you[emoji23][emoji23][emoji23]wasio na booty sasa dooh
Kuna petrol ya baridi na ya moto...nikuletee ipi?Asante sana.
Natumia vinywaji vyote unaweza nisaidia mimi mgeni
Pamoja mkuu.Njema, usihofu kamanda bado sijatoka kikosini
Tunanyanyaswa kweliHahaha wanawake.wembamba tuna shida sana aiseee.
Ngonga like twende sawa..........Kuna petrol ya baridi na ya moto...nikuletee ipi?
Ila kuna uji wa diesel na juice ya mafuta ya taa...
Sijui wapendelea kipi mgeni[emoji23][emoji23][emoji23]
We huna nia njema na mimi.[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kuna petrol ya baridi na ya moto...nikuletee ipi?
Ila kuna uji wa diesel na juice ya mafuta ya taa...
Sijui wapendelea kipi mgeni[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]kila la kheri mimi napambana na hali yanguYaan wanawake wembamba tuna kazi sana hahahaha. Naanza mazoezi ya kunenepa kuanzia leo.
Wembamba wa aina gani? Wembamba wenye afya unaosindikizwa na kimsambwanda maridadi na kakiuno mning'inio au ule wembamba wa mifupa tupu na full mapepe? [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Hahaha wanawake.wembamba tuna shida sana aiseee.
Change in motionMakapuku siku hizi mbili tatu wameongeza speed kweli, but it is too late now. It is very difficult to compete with super sonic speed.
Ndio shemejiCarba, we ni kimbaumbau?
Mambo niaje mkuuVasco da gama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna petrol ya baridi na ya moto...nikuletee ipi?
Ila kuna uji wa diesel na juice ya mafuta ya taa...
Sijui wapendelea kipi mgeni[emoji23][emoji23][emoji23]
So sweet of you[emoji1][emoji1][emoji4][emoji4]I am so moved by you
I will do Anything to save you
Hahahaaka JK [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ChuUmetumia criteria gani kujua hicho kilichoandikwa kua ni Pumba?
Kisichokufurahisha wewe huenda kikamfurahisha mwingine na kinachokufurahisha wewe huenda kisimfurahishe mwingine,
Hatufanani, na kutokufanana kwetu ndio kunakofanya huu uzi kupendeza,
Katika maisha ingekua binadamu wote tuna mtazamo unaofanana tusingekua na haya maendeleo tuliyonayo leo hii kwenye hii dunia tunayoishi, mitazamo tofauti ndio huleta maendeleo.
Twende mkuuNakwenda Zimbabwe
We jamaa wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msaada please jinsi ya Ku bold neno jf