Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tunaongelea nyuki gani? Hawa hawa nyuki wachapa kazi wa kwetu hawa au wale wa kwao? Nyuki wa Marekani wako docile na hata wakikuuma hawana sumu kivile. Nyuki hawa wa kwetu huko kwao wanaogopwa sana na wanajulikana kama Africanized bees. Wamewatengenezea mpaka documentary na wakionekana tu watu wanashauriwa kupiga 911 kuita watu wa kuja kuwaondoa mara moja; na wakiwadunga wazungu aisee wanadungika kweli kweli.

Nimerina asali sana utotoni tena kwa mikono tu bila gloves wala kinga yo yote. Hawa wa kwetu kumi wakikutandika unaweza kupoteza netiweki hasa kama ni wakati wa jua. Tiba hii iwekewe disclaimer please: Usitumie Africanized bees...
 
Aisee hongera!
Hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…