Mkidi Mwako
Senior Member
- Jul 16, 2016
- 199
- 371
Kwema humu
Siku hizi wanasema kukaa zaidi ya masaa manane kwa siku ni mbaya zaidi ya kuvuta sigara. Mnaofanya kazi za kukaa maofisini mhakikishe kuwa kila lisaa limoja mnasimama na kunyosha miguu angalau kwa dakika 10 - 20. Tuliumbwa kufukuza swala katika mbuga za Serengeti kujipatia mlo na siyo kukaa maofisini kwa masaa manane, kwenye gari masaa mawili kupambana na trafiki kurudi home; ukifika nyumbani unasema eti umechoka unakaa tena kuangalia TV. This is deadly...Quit smoking, and if you don't smoke, don't start. Smoking is a major risk factor for developing chronic lung conditions such as emphysema and lung cancer. Do your best to avoid situations where you're exposed to second-hand smoke as well.
Asante, nimeshaachana nayeMoudgulf achane naye atakuharibia siku
Y, makala7?
HahahahaSiku hizi wanasema kukaa zaidi ya masaa manane kwa siku ni mbaya zaidi ya kuvuta sigara. Mnaofanya kazi za kukaa maofisini mhakikishe kuwa kila lisaa limoja msimame na kunyosha miguu angalau kwa dakika 10 - 20. Tuliumbwa kufukuza swala katika mbuga za Serengeti kujipatia mlo na siyo kukaa maofisini kwa masaa manane, kwenye gari masaa mawili kupambana na trafiki kurudi home; ukifika nyumbani unasema eti umechoka unakaa tena kuangalia TV. This is deadly...