ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Pole my dearBusy day
Subiri mzee wa Tukuyu akija. Anaweza akaja na nyimbo, busara za kupitiliza kimo, ucheshi na anaweza kuweka tu emoji moja na kwenda zake...Mi pia nimekumiss nsamaka, penzi lako na yule mzee wa tukuyu limeishia wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo mkuu !!!Kwema humu
Ubarikiwe sana mkuu na babu yetu apumzike kwa amani...Nashukuru nimemaliza pilipilika za kumpumzisha babu yetu