mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna petrol ya baridi na ya moto...nikuletee ipi?
Ila kuna uji wa diesel na juice ya mafuta ya taa...
Sijui wapendelea kipi mgeni[emoji23][emoji23][emoji23]
Wia faini mkuu. Hawa yu?Good people How are you doing?
HahahaMsaada please jinsi ya Ku bold neno jf
Karibu MkuuTukipata mda tena nitajongea humu
DuWembamba wa aina gani? Wembamba wenye afya unaosindikizwa na kimsambwanda maridadi na kakiuno mning'inio au ule wembamba wa mifupa tupu na full mapepe? [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
JumongJimong
...Machozi huenda na maji...
Itabaki milele ni MilimaForm two enzi zileeeee. Dah! Yaani miaka inakimbia balaa hata sijui inakwenda wapi. Dunia hii kwa kweli tunapita tu !!!
ToEvening all
ArsenalShimba umeliuliza swali vizuri zaidi kuliko nilivyouliza.
Hayo ndo yalikuwa malengo yangu hasa.
Sent using Jamii Forums mobile app