Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naona unajifariji na nyumba ndogo baada ya nyumba kubwa kukutia machungu weekend mbili mfululizo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mchepuko raha sanaa[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahahaa bora nilikuwa makini katika kuchagua mchepuko...asa ndugu zangu wanachelsea wanaoshabikia barca Sina la kufanya zaidi ya kuwaonea huruma.
 
Uswahilini kwetu chakula ndio hutawala maisha. Mie nadhani hii inatokana na ukweli kuwa chakula ndio kitu pekee kinachoweza kumfanya mtu ajisikie vizuri katika ngazi yeyote ile ya maisha.
Siyo Uswahilini tu. Hata huko Masaki kwa Mzee wa Liver chakula ndiye mfalme. Ndiyo maana mpaka kuna mkanganyiko katika swali hili la kitashtiti: Tunakula ili tuishi au tunaishi ili tule?
 
Back
Top Bottom