cherie neisha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,873
- 20,705
Hahaa[emoji3]in gwajimas voiceHalifai sijui lilikula maharagwe ya Chunya?
Hahaa[emoji3]in gwajimas voiceHalifai sijui lilikula maharagwe ya Chunya?
Amen...Lolote ulitendalo liwe kwa kuongea au kutenda fanya hivyo kwa jina la KRISTU YESU, ukimpa shukrani Mungu Baba kupitia Kwake.
Na iwe hivyo.Lolote ulitendalo liwe kwa kuongea au kutenda fanya hivyo kwa jina la KRISTU YESU, ukimpa shukrani Mungu Baba kupitia Kwake.
Na wewe piaMuamke salama kesho
Na wewe pia Liver,tunakupenda.Nawapenda sana
Ni wakolosia 3:17
Goodnight to youGood night wanalikes all