Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
Habari za masiku wandugu...
Umeshawahi kuitumia?2. Kungumanga
Kungumanga hufanya kazi kama dawa ya kuchangamsha ubongo na kuondoa uchovu na mfadhaiko.
Kama matokeo yake matumizi ya tunda hili kutakufanya kuwa na akili yenye utulivu nah ii ni moja ya dawa rahisi kabisa za kutibu mfadhaiko.
Tumia nusu kijiko kidogo cha chai cha unga wa kungumanga ndani ya kikombe kimoja cha chai ya kijani kutwa mara 1 kila siku.
Kwema?Hahaha
Baking soda na baking powder hivi vitu vina tofauti?3. Baking Soda
Baking soda inaweza kusaidia kukupunguzia kiasi cha hamaki katika ubongo wako na hivyo kukuondolea msongo wa mawazo.
Sababu kubwa ni kuwa baking soda ina uwezo mkubwa wa kuondoa asidi ndani ya mwili wako.
Tumia nusu kijiko kidogo cha chai kutwa mara 1 ndani ya maji ya uvuguvugu kikombe kimoja kila siku.