mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Sisi ya kupewa noah inayeyukaAfadhali mwenzetu ndoto ya kumiliki gorofa imetimia. Amethubutu[emoji122] [emoji122]
Sisi ya kupewa noah inayeyukaAfadhali mwenzetu ndoto ya kumiliki gorofa imetimia. Amethubutu[emoji122] [emoji122]
Acha kujivuna sana. Kamata likes...Wajanja wanaipenda Yanga timu bora zaidi Tanzania, mabingwa Mara tatu mfululizo wa taji la ligi kuu
acha kupotosha watu ndio kwanza asubuhiUsiku umeingia.
Mzee wa Harvard pombe atamuelewa tuHuyu jamaa hana hamu na pombe
Simba wanajinadi kumficha Niyonzima
Chukua likeNdiyo naingia jmvini! Ingawa usingizi leo umekubali
Ni kweli mkuu. Hii Theard kiboko!Theard ya kimataifa
Toa like..acha kupotosha watu ndio kwanza asubuhi
Hela bado unazo? Tuanzie hapo kwanza!hivi ni kwanini JOKATE hawezi kunitazama usoni sikuhizi, mbona tuliyamaliza naombeni mnisaidie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hela bado unazo? Tuanzie hapo kwanza!
Sasa wasipopinga kila kitu watakuwaje wapinzani?Chadema upinzani siyo kupinga kila kitu