nyiramba girl
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 778
- 4,167
niulizie mkuuSasa wasipopinga kila kitu watakuwaje wapinzani?
niulizie mkuuSasa wasipopinga kila kitu watakuwaje wapinzani?
Hapo siwezi like no matusi humuSimba ni timu ya mambumbumbu
chukua hiyoNaombeni like
HiyoSioni like
Huyu jamaa hana hamu na pombe
Ndiyo naingia jmvini! Ingawa usingizi leo umekubali
Ubinadamu ni damu, bila damu ni sanamu, kama salaam ni tamu basi tabasamu
Unakarbia kuupiku uzi ule wa
Wa mwisho ndio mshindi japo ulianza 2012 hongereni
Mpaka kuchweeeeEeh mpaka kieleweke.
Ukaona ni bora ule LIKES....haya chukua hizo.Nimealikwa safari za nje zaidi ya 50 - 60 lakini sijaenda..
Maneno kuntu[emoji108]Kuwa na wanaume wengi haimaanishi kuwa wewe ni mrembo sanaaaaaaa.siunajua kuwa bidhaa ya bei nafuu ndio inawanunuzi wengiiii?!?nimtazamo tu