Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
J321
Tunda hili linasaidia kuwa na uwezo mkubwa wa kuimalika kwa misuli na mfumo wa fahamu kufanya kazi zake vizuri na kukuondoa katika hatari ya kupatwa na shinikizo la juu la damu.
Andjul nilimuona wakat na like alikuwepo jana mida ya UsiKu wa saa 3.
Kwenye taarifa za kuungua kwa soko la sido alituma mpaka picha
Umekaribisha sana unaweza jikuta umeshinda njaaMuda wa lunch karibuni
Unachohitaji ni kula tikiti maji kila siku sambamba na mbegu zake na hutakawia kuona tofauti.