Baby Doll
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 5,058
- 22,676
Tikiti maji halijawahi kumuacha mtu salama [emoji23][emoji23][emoji23].
Kwema bageshi?
Tikiti maji halijawahi kumuacha mtu salama [emoji23][emoji23][emoji23].
Kwema bageshi?
View attachment 567676Mungu awabariki wakulima wote[emoji120][emoji120]
TrueIf a man expects a woman to be an Angel in his life,he must first create heaven for her,Angels don't live in hell.
Likes zipo ndio chakula
Hurahisisha mtiririko wa damu mwilini
Huondoa sumu mwilini
Huongeza nguvu za kiume hasa ukila pamoja na mbegu zake
Likes ndio chakula changu pendwa kipo hapo
Amen !!!If a man expects a woman to be an Angel in his life,he must first create heaven for her,Angels don't live in hell.
Tunda zuri kwa mwenye ugonjwa wa moyo
Huzuia na kutibu pumu
Hutibu tatizo la kufunga choo
Huimarisha mifupa
Taarifa zilidai ni somewhere mwanjelwa kama sikosei