Mango833
JF-Expert Member
- May 4, 2011
- 4,483
- 20,663
Mlevi mmoja alikuwa anapita barabarani, mida ya saa sita mchana, mbele kidogo kulikuwa na shule ya msingi, alipoifikia ile shule akasema kwa sauti kubwa 'MAGUFULI HUYO ANAKUJA' waalimu wakatoka maofisini mbio mbio kuelekea madarasani kufundisha, mwalimu mkuu si akakosa darasa la kuingia ikabidi achukue ufagio akaanza kufagia uwanja, Mlevi alicheka hadi akadondoka, chezea TINGATINGA wewe, HAPA KAZI TU,