Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-08-16-10-33-29.png
 
828f549c8c53866b5e125dc6ec707f99.jpg


android phone
Mpime kwanza mioyo yenu kabla hamjafakamia hizi energy drinks hasa kama unazinywa halafu unaingia kufanya kazi ambayo inaulazimu moyo kusukuma damu kwa wingi (mf. kugegedana). Kama una tatizo la moyo ambalo yawezekana hata hulijui, moyo kuzimika ni rahisi sana halafu kesho mtu unajikuta front page kwenye magazeti ya Shigongo...
 
Back
Top Bottom