Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mlevi mmoja alikuwa anapita barabarani, mida ya saa sita mchana, mbele kidogo kulikuwa na shule ya msingi, alipoifikia ile shule akasema kwa sauti kubwa 'MAGUFULI HUYO ANAKUJA' waalimu wakatoka maofisini mbio mbio kuelekea madarasani kufundisha, mwalimu mkuu si akakosa darasa la kuingia ikabidi achukue ufagio akaanza kufagia uwanja, Mlevi alicheka hadi akadondoka, chezea TINGATINGA wewe, HAPA KAZI TU,
 
Nimeshangaa sana MTU na Akili zake kaanzisha thread ya kuuponda huu Uzi wa kupeana Like cjui anawaza kwa kutumia nini au ndo makalio?? Yaani MTU akipewa Like inakuuma nini?? Au like inamuongezea au kumpunguzia MTU kitu gani ktk maisha yake?? Au trophies zina mchango gani ktk maisha?? Nadhani ni Uzi tu kwa ajili ya kuburudishana na kupunguza stress na kufanya maisha yaendelee kwa nini MTU aumie Mimi kupewa like?? Nimesikitika sana nilipoona Uzi huo nadhani kuna umhimu wa mods muanzishe utaratibu wa kupima Akili ya MTU anapotaka kufungua JF account
 
kwa kweli kupimwa akili kunahusika
 
Achana nao naye hiyo, we chukua like hii kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…