Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo Duniani (FAO), linaeleza kuwa asilimia 71 ya zabibu yote duniani hutumika kutengenezea mvinyo na asilimia 27 huliwa kama matunda ya kawaida, huku asilimia mbili ikikaushwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.