Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Aug 16, 2017 #279,382 West Brom wamnunua Gareth Barry kutoka Everton - BBC Swahili
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Aug 16, 2017 #279,383 Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 16.08.2017 na Salim Kikeke - BBC Swahili
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,502 Reaction score 911,255 Aug 16, 2017 #279,385
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Aug 16, 2017 #279,386 ZABIBU ni matunda matamu yanayopendwa na watu wengi. Matunda haya yana faida nyingi kiafya katika mwili wa binadamu.
ZABIBU ni matunda matamu yanayopendwa na watu wengi. Matunda haya yana faida nyingi kiafya katika mwili wa binadamu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Aug 16, 2017 #279,387 Matunda haya yalianza kulimwa huko nchini Uturuki, lakini kwa hapa kwetu nchini yanapatikana zaidi mkoani Dodoma.
Matunda haya yalianza kulimwa huko nchini Uturuki, lakini kwa hapa kwetu nchini yanapatikana zaidi mkoani Dodoma.
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,502 Reaction score 911,255 Aug 16, 2017 #279,388
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Aug 16, 2017 #279,390 Zabibu huwa na rangi nyekundu iliyoiva, nyeusi, bluu ya kukoza, njano, kijani na hata pinki,
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Aug 16, 2017 #279,391 Pia hutumika katika kutengeneza mvinyo (wine) ambayo hutumiwa katika sehemu mbalimbali duniani.
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,502 Reaction score 911,255 Aug 16, 2017 #279,392
ISIS JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 96,072 Reaction score 858,588 Aug 16, 2017 #279,393 Alice in wonderland
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Aug 16, 2017 #279,394 Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo Duniani (FAO), linaeleza kuwa asilimia 71 ya zabibu yote duniani hutumika kutengenezea mvinyo na asilimia 27 huliwa kama matunda ya kawaida, huku asilimia mbili ikikaushwa.
Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo Duniani (FAO), linaeleza kuwa asilimia 71 ya zabibu yote duniani hutumika kutengenezea mvinyo na asilimia 27 huliwa kama matunda ya kawaida, huku asilimia mbili ikikaushwa.
Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,502 Reaction score 911,255 Aug 16, 2017 #279,395
ISIS JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 96,072 Reaction score 858,588 Aug 16, 2017 #279,396 Blessed to bless
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Aug 16, 2017 #279,397 Licha ya kuwa ni tunda linalopendwa, pia linasaidia kupunguza uchovu na kuzuia mtoto wa jicho.
ISIS JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 96,072 Reaction score 858,588 Aug 16, 2017 #279,398 Care for elderly
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Aug 16, 2017 #279,399 Zabibu ni tiba tosha ya pumu, huongeza unyevuvyevu kwenye njia ya hewa na hivyo kupunguza utokeaji wa pumu.
Zabibu ni tiba tosha ya pumu, huongeza unyevuvyevu kwenye njia ya hewa na hivyo kupunguza utokeaji wa pumu.
ISIS JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 96,072 Reaction score 858,588 Aug 16, 2017 #279,400 FORTUNA