mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Nzuri kwa kweli
Nzuri kwa kweli
The great warrior is capable of win anywhereKuna kaukweli lakini messi angecheza hizo ligi angeshinda tu
CcTunagombana na daktari mno. Anataka niache kula nyama na ugali. Nami namwambia siwezi. Anasema cholesterol yako inapanda na ugali unakuongezea sukari bure. Nami nasema hapana. Babu yangu aliishi miaka karibu mia na alikuwa anakula nyama na ugali karibu mara 4 kwa wiki. Sijui itakuwaje. Yaani mboga bila kipande cha nyama au samaki aisee siridhiki kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Oooh I'm sorry not hate woman, I love women but it needs me some little price to trust them,I need prayers[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bob12
Unaweza kuchinja mwanangu,afu hapo ushagombana sana na wazazi na ndugu zako kwa ajili yake afu.......................Haya mambo haya