Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

030a13b660b81f8afc672a45c184c53c.jpg
www
9
 
[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]According to a study published in Biology of Reproduction (1984), sperm can live for up to 5 days inside of a woman, under the right conditions. More commonly though, sperm live about 2 days, so be realistic in timing if you are trying to conceive
Na wanasema ni njia bora kabisa ya kupata Mtoto awe like au wa kiume
Kwamba mbegu zenye Mtoto wa kiume uwa zinawahi kufika haraka kwenye mji wa mimba lakini zinakufa haraka
Lakini za Mtoto wa kike zinachelewa kufika lakini zinaishi mpka Siku Tano kwenye kwenye mji wa mimba
Just do calculation kupata Mtoto wa aina gani
 
Tunagombana na daktari mno. Anataka niache kula nyama na ugali. Nami namwambia siwezi. Anasema cholesterol yako inapanda na ugali unakuongezea sukari bure. Nami nasema hapana. Babu yangu aliishi miaka karibu mia na alikuwa anakula nyama na ugali karibu mara 4 kwa wiki. Sijui itakuwaje. Yaani mboga bila kipande cha nyama au samaki aisee siridhiki kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole sana
 
Na wanasema ni njia bora kabisa ya kupata Mtoto awe like au wa kiume
Kwamba mbegu zenye Mtoto wa kiume uwa zinawahi kufika haraka kwenye mji wa mimba lakini zinakufa haraka
Lakini za Mtoto wa kike zinachelewa kufika lakini zinaishi mpka Siku Tano kwenye kwenye mji wa mimba
Just do calculation kupata Mtoto wa aina gani
Kazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom