Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

372623877b88b58c5bb6992f18c86c66.jpg
 
Hahahahaha
Ni kweli mkuu. Energy drinks hizi, Mkuyati, Vumbi la Kongo na maviagra yao haya unajipigilia ndiyo unaingia kunako sita kwa sita etu kutoa show ya kibabe, kama una katatizo ka moyo hata kama hukajui aisee ni hatari sana. Keshoye unaweza kujikuta uko front page kwa Shigongo "Njemba Yafia Guest. Demu Asepa na Kuacha Kila Kitu.."

General San Abacha alifanya upuuzi huu huu. Kaagiza makahaba wanne kutoka India huko kafakamia viagra za kutosha fivesome ikagoma moyo ukazimika....

Moderation and knowing the risk factors inasaidia sana !!!
 
Back
Top Bottom