Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
J398
HahahahahaMpime kwanza mioyo yenu kabla hamjafakamia hizi energy drinks hasa kama unazinywa halafu unaingia kufanya kazi ambayo inaulazimu moyo kusukuma damu kwa wingi (mf. kugegedana). Kama una tatizo la moyo ambalo yawezekana hata hulijui, moyo kuzimika ni rahisi sana halafu kesho mtu unajikuta front page kwenye magazeti ya Shigongo...