Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
HahahahahaNi kweli mkuu. Energy drinks hizi, Mkuyati, Vumbi la Kongo na maviagra yao haya unajipigilia ndiyo unaingia kunako sita kwa sita etu kutoa show ya kibabe, kama una katatizo ka moyo hata kama hukajui aisee ni hatari sana. Keshoye unaweza kujikuta uko front page kwa Shigongo "Njemba Yafia Guest. Demu Asepa na Kuacha Kila Kitu.."
General San Abacha alifanya upuuzi huu huu. Kaagiza makahaba wanne kutoka India huko kafakamia viagra za kutosha fivesome ikagoma moyo ukazimika....
Moderation and knowing the risk factors inasaidia sana !!!
HahahahaPyua ya BUYENZE [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Hapo ndipo ninapo hate hivi viumbe,samahani lakiniUkiuliwa usisahau kuleta mrejesho pia...Waswahili wana kamsemo eti mchumba hasomeshwi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Niko na private car I hope nitawahiMi nipo nahangaika nayo hapa. Mauza uza tupu...
Ukifika Mza itabidi ukamate kipipa ndo uwahi. Msalimie sana QUIGLEY. Ndiyo kocha wangu nikiwa na maswali huwa nauliza...