HahahahaOnly ukiwa na imani imara isiyo ya kinafiki. Kama unacheza huku na huku leo uko kanisani kesho uko na Giggy Money Dabo Turii Hotel aisee juju itakukamata tu !!!
Naomba ufafanuzi1 katika hili mkuu. Calculations kivipi?Na wanasema ni njia bora kabisa ya kupata Mtoto awe like au wa kiume
Kwamba mbegu zenye Mtoto wa kiume uwa zinawahi kufika haraka kwenye mji wa mimba lakini zinakufa haraka
Lakini za Mtoto wa kike zinachelewa kufika lakini zinaishi mpka Siku Tano kwenye kwenye mji wa mimba
Just do calculation kupata Mtoto wa aina gani
Kazi kweli kweliNaomba ufafanuzi1 katika hili mkuu. Calculations kivipi?
Nikipata livulana limoja tu la mbegu basi I am done...
Pyua ya BUYENZE [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Papo kwa papoJeff Dindi hataki ujinga aisee...![]()
Jeff dindi ni shidaaJeff Dindi hataki ujinga aisee...![]()
Tena kubwa sis.Kazi kweli kweli
AMUN RA15:15
AMUN RA