carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Alizaa mwenyewe au alizalishwa??[emoji30][emoji30]The most children born to one woman was 69, in which she had 16 twins, 7 triplets, and 4 quadruplets.
Paperwise not materially[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]The 62 richest people in the world are now wealthier than the rest of humanity combined.
Wakati mwingine uzi unahitaji maongezi ongezi na utani. Sasa minamba tuuuu...Uzi umepoa[emoji30][emoji30][emoji30]
Paperwise vs materially? Sioni tofauti. May be you meant spiritually.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Paperwise not materially
Unamaanisha nini shemeji? Kuzalishwa kwa maana ya kutandikwa mimba au kuzalishwa kwa maana gani? Si ajabu C-section kadhaa, natural birth kadhaa...na mengineyo....Alizaa mwenyewe au alizalishwa??[emoji30][emoji30]
Hawa jamaa sijui wako wapi kwakweli atleast wakiwepo ka uzi kana changamka...sijui ni majukumu yamewatinga...au ni uzi umeanza kupoteza mvuto kwao[emoji30][emoji30][emoji30]Wakati mwingine uzi unahitaji maongezi ongezi na utani. Sasa minamba tuuuu...Aaaargh !!!!
Bila mpapurano wako na KK na mzee wa Tukuyu mi kwa kweli sipatagi raha hapa. Hata sijui wako wapi hawa jamaa !!!