carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Salama kabisa...
Habari ya wewe
Salama kabisa...
Natumai atarejea hivi karibunNimemwekea mitego ya misambwanda jana wala hakumeza ndoana huyu mzee. Baadaye nikasikia eti alikuja usiku sijui kuweka picha za soko lililokuwa likiungua huko kwao Mbeya...
Kichwa Kichafu hajanilipa hela ya pango,ndio maana ananikwepa kwepa humu,huyu mpangaji wangu ni mkorofi sana kama Baloteli vile aisee!!Kichwa Kichafu aka kichwa kibovu njoo bhana uzi umepoa huku
Kuna watu wana pumzi. Huwezi jua. Ulishaujaribu huu mtanange shemeji? [emoji116][emoji116][emoji116]C/section nilimaanisha mana kwa uzao huo sidhani kama ali push mwenyewe
Itakuwa juju hiyoNguo zimeanza kunibana. What's going on?
MothersKuna watu wana pumzi. Huwezi jua. Ulishaujaribu huu mtanange shemeji? [emoji116][emoji116][emoji116]
![]()
Typical ya wasomi wa Afrika. Kamwe hutamwona mzungu akiongea hivi...