Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakati mwingine uzi unahitaji maongezi ongezi na utani. Sasa minamba tuuuu...Aaaargh !!!!

Bila mpapurano wako na KK na mzee wa Tukuyu mi kwa kweli sipatagi raha hapa. Hata sijui wako wapi hawa jamaa !!!
Hawa jamaa sijui wako wapi kwakweli atleast wakiwepo ka uzi kana changamka...sijui ni majukumu yamewatinga...au ni uzi umeanza kupoteza mvuto kwao[emoji30][emoji30][emoji30]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…