carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Habari yako mkuuYou just speak your mind
Kula hiyo likes kwanza
Love is behind you just look BackWhere is love?
APP ndiyo imesetiwa hivyo. Ukitaka kuona zaidi tumia browser...Mbona like zinakua tano tano tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Twitter ikoje kwani??Huu uzi ni kama twitter
Njema za masiku na karibu likes
C/section nilimaanisha mana kwa uzao huo sidhani kama ali push mwenyeweUnamaanisha nini shemeji? Kuzalishwa kwa maana ya kutandikwa mimba au kuzalishwa kwa maana gani? Si ajabu C-section kadhaa, natural birth kadhaa...na mengineyo....
Uzi huu ni hivyo hivyo. Kuna wakati unakubamba. Kuna wakati you are like mhhh...Hawa jamaa sijui wako wapi kwakweli atleast wakiwepo ka uzi kana changamka...sijui ni majukumu yamewatinga...au ni uzi umeanza kupoteza mvuto kwao[emoji30][emoji30][emoji30]
Kweli kabisaUzi huu ni hivyo hivyo. Kuna wakati unakubamba. Kuna wakati you are like mhhh...
Wakati mwingine uzi unahitaji maongezi ongezi na utani. Sasa minamba tuuuu...
Bila mpapurano wako na KK na mzee wa Tukuyu mi kwa kweli sipatagi raha hapa. Hata sijui wako wapi hawa jamaa !!!
Nimemwekea mitego ya misambwanda jana wala hakumeza ndoana huyu mzee. Baadaye nikasikia eti alikuja usiku sijui kuweka picha za soko lililokuwa likiungua huko kwao Mbeya...andjul uko wapi mzee wa tukuyu??[emoji22][emoji22][emoji22]ukuje bhana una missika huku