The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Uko sahihi kabisa Mkuu,au unakuta mtu mwingine anarudia rudia tu mapicha yale yale daily!!Wakati mwingine uzi unahitaji maongezi ongezi na utani. Sasa minamba tuuuu...
Bila mpapurano wako na KK na mzee wa Tukuyu mi kwa kweli sipatagi raha hapa. Hata sijui wako wapi hawa jamaa !!!
Gonga likes pata lkessiku hizi like zimepungua humu
Sent From Ikulu-Magogoni street
Huyu jamaa ana sifa sana ila namuelewa lumumba
Andjul naye ametupiga ng'ombe 15 wa mahari. May be ndiyo sababu wanakwepa kwepa hawa jamaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kichwa Kichafu hajanilipa hela ya pango,ndio maana ananikwepa kwepa humu,huyu mpangaji wangu ni mkorofi sana kama Baloteli vile aisee!!
Wame edit tu,huyo jamaa yuko vizuri sana upstairs.Typical ya wasomi wa Afrika. Kamwe hutamwona mzungu akiongea hivi...
I hope ni utani...
Aaa wapi. Ugali tu na madikodiko. Inabidi nipunguze...Itakuwa juju hiyo
Broooo
Kijana kaamua kuishi maisha ya kujificha ficha kama Digidigi kwa madeni 😀😀Andjul naye ametupiga ng'ombe 15 wa mahari. May be ndiyo sababu wanakwepa kwepa hawa jamaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]