Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Mkuu,siku nikija kuliota hili dude.....yaani.....nasema yaaaniii siku hiyo..Acha niishie hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yeah. Range Rover V12 hili mpaka uliagize mwenyewe kutoka kiwandani customized. Hata kuliendesha vizuri hasa milimani na kwenye matope ni lazima upewe tutorial [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Kinachoumiza ni mazoea bhana,umekaa na mtu over 7yrs,u got a kid with her then ana [emoji126] [emoji126] [emoji126] dah [emoji22] [emoji29] [emoji22] [emoji29] [emoji22] lazima uone unafanyiwa operation bila ganzi
Inauma ila utafanyaje sasa ila naamini kila kitu kinakuja kwa sababu,somethings are not meant to be...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…