Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi kwanza nlikuwa shabiki wa Man u enzi za Ronaldo kwa hiyo alivoondoka kwenda real ofcuz nkaanza kuipenda real...by that tym nlikuwa sishabikii club za Spain ila nlikuwa nampenda messi..messi mi simchukii.
Man u nlihama Ferguson alivyoondoka[emoji17][emoji17][emoji17]ko mimi Ni Chelsea saiv na sinampango wa kuhama.
Duu mkuu cherie neisha una ushabiki wa ajabu kweli kweli. Hata hivyo nitaheshimu aina yako ya kushabikia. maana ni kama unapenda watu badala ya timu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni uchawi kasoro vitendea kazi tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Roho inauma niko n Cole eeh?
Shemeji unagubu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Gubu wapi,dogo karogeka huyu,si bure.Cole alikuwa mzuri kwenye hesabu,anasolve swali moja hadi page nne. Leo hii hata kuandaa data given ni mvivu? Naenda Malawi,nikamtapishe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
58afbc7da5faadb969e389bb3e2e5085.jpg
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Washaaaaaa...leta na hayo makaburi[emoji23][emoji23][emoji23](nikiona yananizidi nguvu nasepa kimya kimya[emoji23][emoji23][emoji23])
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom