Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika mahusiano ya kimapenzi ni lazima pawepo na siri baina ya wapendanao ili kuweza kulinda penzi lao lisipate hujuma kutoka nje, penzi ambalo halina siri yaani kila kinachofanyika ndani ya penzi lenu kinawekwa bayana kwa watu wengine basi hilo penzi haliwezi kudumu,
Kweli kabisa...kila kitu kiishie ndani ya kuta nne tena milango na madirisha vikiwa vimefungwa...
Mahusiano mengi siku hizi yanavunjika sababu hiyo(hakuna siri)kila kitu tunaongea ongea tu hadi paka wa jirani wanajua...
 
58afbc7da5faadb969e389bb3e2e5085.jpg
Eyaaaa !!!?!huo ndio mfano wa mdogo wangu humu....anajijua(kutajana majina siwezi,mimi sio mwanamuziki wa kikongo)
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
ATTi nini my ndugu una uhakika Na unachokiandika
Anatugombanisha huyo mzeee...
Nduguyo hanitaki kwenye ukoo wenu[emoji22][emoji22]maana anafanya kila harakati nikuache lol[emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom