carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Subiri nikahesabu pair nilizonazo [emoji125] [emoji125]Inakadiriwa kuwa wanawake wenye kipato cha wastani wanamiliki wastani wa pair za viatu 25
Subiri nikahesabu pair nilizonazo [emoji125] [emoji125]Inakadiriwa kuwa wanawake wenye kipato cha wastani wanamiliki wastani wa pair za viatu 25
Mimi napika,nafua,na mop ila kuosha vyombo labda awe hayupoTatizo wanaume wa kiafrika bado wanaishi kwenye zama za ubwana na utwana...
Ningekuwa mswahili ningekuimbia taarabu[emoji23][emoji23][emoji23]hadi ukomeEyaaaa !!!?!huo ndio mfano wa mdogo wangu humu....anajijua(kutajana majina siwezi,mimi sio mwanamuziki wa kikongo)
We msikize tu ila anakupoteza...Huyu mzee sijamuelewa kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duu mkuu cherie neisha una ushabiki wa ajabu kweli kweli. Hata hivyo nitaheshimu aina yako ya kushabikia. maana ni kama unapenda watu badala ya timu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu haya maisha ya hapa acha tu... Sipati picha siku nakutanishwa na carba..."Shikamoo babu" naitikia 'Marahaba mjukuu mrembo' huku nachungulia kamsambwanda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mara najitambulisha huku macho nimekazia kwenye kamwinuko 'eee naitwa andjul nimetokea Tukuyu Mbeya'... Naamini carba atahamaki "Waaaatiiiiii[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]"[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji23][emoji23][emoji23]naimani unamaanisha ubuyu na si siri kama siri lolMwanamke anaweza kutunza siri si zaidi ya masaa 47 na dakika 15 tu
Maternal death ni nyingi sana hadi inasikitisha kwakweli[emoji22][emoji22]Kila sekunde 90 duniani mwanamke mmoja hufa kutokana na ujauzito au kujifungua
[emoji115] [emoji818] [emoji818] [emoji818] [emoji818] [emoji817]Ila kumbukeni tembo hafugwi anafaa kwa maonyesho tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28]na kweli,tungepanga uzazi bila kupendaMjomba Magu amejisemea kale kamchezo ni katamu [emoji39] watu wangepiga tu mechi za kirafiki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Gud ila natumaini inakupa
Good vibes
MmmhhKwa mujibu wa tafiti, uwezekano wa mwanamke kuzaa mtoto wa kike huongezeka zaidi jinsi anavyoishi karibu zaidi na ikweta
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sitaki uendeNasubiri makaburi hayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huku nafanya mazoezi ya kukimbia[emoji38][emoji38]
Natafuta na kiti kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]Loading............
Please wait..
Yap[emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Gud ila natumaini inakupa
Good vibes
Anaona wivu huyo mzee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].
We Mzee Kuna siku utaua mtu sio kwa misumari hiyo duuuh