Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unataka kusema paraboz zilimvutia? Katika uzi huu mtu unaweza kuandika kitabu kabisa kuhusu mambo mengi tu ukitaka!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu haya maisha ya hapa acha tu... Sipati picha siku nakutanishwa na carba..."Shikamoo babu" naitikia 'Marahaba mjukuu mrembo' huku nachungulia kamsambwanda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mara najitambulisha huku macho nimekazia kwenye kamwinuko 'eee naitwa andjul nimetokea Tukuyu Mbeya'... Naamini carba atahamaki "Waaaatiiiiii[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]"[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] heshima yenu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umesemaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…